KARIBU MSHARIKA
Ninakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Nakukaribisha mdau wetu, msharika na usiye msharika, mtu binafsi au kikundi rafiki yetu popote ulipo, kuendelea kutembelea app hii mara kwa mara ili upate fursa ya kujifunza Neno la Mungu na kupata huduma mbalimbali zinazotolewa na Usharika.
NENDA KWENYE MENU KUU
Telezesha kidole, ili kupeleka menyu, telezesha kidole popote kulia!
SUKUMA KULIA